Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Sidhani kama mimi ni mzembe ila pengine nimekuwa mwema sana kwenye dunia iliyojaa hayawani.
Iko hivi, miaka mitano iliyopita nilimtongoza binti mmoja aliyekuwa anavutia kwa macho ya wengi hasa kwenye maadili, alivyokuwa anaishi na watu plus kujituma kwake ukichanganya na heshima mno basi nikachanganyikiwa.
Good luck 🤞 mwenyewe alikuwa ananielewa (alivyodai) so ikawa rahisi kukubaliana naye na hatimaye tuka date rasmi.
Kwao walinitambua kama mshkaji wake na msiri wake wa karibu na hata bi mkubwa wake tulikuwa tunapiga stori mingi kuhusu life maana ndio nilikuwa najitafuta pia so anytime nilikuwa napiga simu au kutimba kwao bila noma maana nafahamika japo haikuwa rasmi kama mchumba.
Mimi nilimpenda zaidi aliponiambia ni bikra safi na malengo yangu ni kuoa bikra safi mno maana mimi nimejitunza siko tayari kuharibiwa uvulana wangu na makurumbembe (am sorry to say that ila ndio ukweri in Magu voice).
Sasa siku na miaka ikaenda sijawahi kumwalika magetoni akaja nikalala naye au hata kumweka maana nilimheshimu kama mama watoto wangu baadaye.
Sikuwa na kazi ya kueleweka zaidi ya daiwaka tu wa kila kazi inayphusisha computer au camera maana sikujipata.
Mwaka kesho ndio nilipanga kumuoa maana nilitaka nimuoe mwaka huu ila nimepisha uchaguzi kwanza no reforms no election.
Sasa nimekuja kugundua huyu niliyemtunza hivi kumbe mwezi wa 6 mwaka huu alilala na mjamaa na anadai akavunjwa bikra yake. Nimehuzunika japo sijamuonyesha hisia za chuki au kumuacha maana kwa kweli siwezi kuendelea naye tena.
Siwezi kuoa mwanamke aso bikra.
Ni aina ya mwanamke ambaye kidogo tu ukimzingua anaumia sana, machozi bahari na vilio kama vyote.
Yeye ame break my heart kinoma. Sasa nataka nimuache maana sina malengo tena na aina hii ya mwanamke.
Nimuache kiaje ili roho yake isiume sana?