Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Si simulizi kaka, hi ni true story yangu binafsiDah!Ungeenda kumnunulia nyingine mpya.Mambo ni kusaidiana.
NB;Kwa akili hizo (kama simulizi yako ni kweli)utapata tabu na mahangaiko mengi sana.
Kivipi?GenZ sijui mnawaza kwa kutumia Nini...
Kaka sema wallahiKaka nipasie Mali Bado mpya hiyo mjini imetolewa damu tu ila Bado inabana
Kaka nifosie kaka nakuahidi utakuwa best man wangu siku ya ndoa kaka
Fanya hivyo kaka
Nitashindwa kivipi kaka?Sijasoma mpaka mwisho ila itoshe kusema hata siku ukija kuoa utashindwa kumuongoza mke wako
Dah haf kweli aiseeWakati yeye alivyo kua anatunuku hiyo bikra unayolilia ,yeye alijali ukijua utakavyo umia?
Sasa je ka kijanja kiazi weweDah haf kweli aisee
Nilimheshimu sana na sikutaka kumlazimishaAkili za kitoto hizi yani mtu yupo tayari kukutunuku unakataa ujinga tu
Hapo kusema bahati mbaya nakataa japo yeye pia amesema ilikuwa bahati mbaya. Tatizo siwrzi kuoa tofauti na bikraNi ujinga kumacha msichana anayefaa kuwa mama watoto kisa alilala na mwanaume mwingine kwq bahati mbaya.
Halafu wewe kwa miaka.yote hiyo hujakutana na msichana?
Pia hakuna uchumba wa miaka 5 uchumba ni miezi 6 tu huko kwingine ni kutafutana hila tu,
Ukimpenda binti mchumbie fanya mipango ya ndoa uoe,,
Samahani Shangazi, mtoa mada kakuudhi nini?GenZ sijui mnawaza kwa kutumia Nini...