Nimeachana na mchumba niliyedumu naye kwa miaka 5 kisa hana Bikra

Mtumie SMS umekufa
 
Umejuaje kuwa amvunjwa bikira....?
Ulimwambia utamuoa sababu amekwambia anabikira...?
 
Yaani ametongozwa akakubali wakati anajua yupo na wewe. Wakapanga kuonana na mshikaji, akakubali huku anajua yupo na wewe.

Akajiandaa, akadanganya hadi wazazi wake. Amefika kwa jamaa akaanza kufanyiwa foreplay. Jqmaa akatoa nguo moja baada ya nyingine mpaka zikaisha.

Kisha akapanua mapaja, ikaingia; ikichomoka anairudishia chap, mpaka wakamalizana. Kote huko ni bahati mbaya?

Amefanya yote hayo bila kuwaza jinsi utakavyoumia, halafu wewe unamhurumia! Amka, mkuu. Man up. 😁
 
imagine kila mtu angekuwa anaoa bikra kila mtu angeoa bikra na hakuna ambaye angepata kurumbembe wala single maza wanawake ongezeni mikazo.
 
Dogo una uhakika una akili timamu?


Mtu kagongwa na wahuni unawaza yeye asiumie?

Usisahau wakati analiwa na wahuni ilitoka akairudisha.

Kila la kheri
 
Basi ingia msituni upate wa chaguo lako.
 
Bikira kwa Sasa hakunaga si mbele Wala kisogoni utasubiri sana aloo.... Umba wako
 
Mkuu una uhakika ni huyo jamaa tu ndo amekula hapo ulikuwa unaandaliwa tu kisaikolojia ila warning walishapiga sana. Alikuwa anakuandaa tu ili siku usipoikuta ujue ni bahati mbaya ya jamaa aliyemla mara moja
 
Foolish age.
 

Kosa lako :

"Kwao walinitambua kama mshkaji wake na msiri wake wa karibu na hata bi mkubwa wake tulikuwa tunapiga stori mingi kuhusu life maana ndio nilikuwa najitafuta pia so anytime nilikuwa napiga simu au kutimba kwao bila noma maana nafahamika japo haikuwa rasmi kama mchumba."

Na lingine:

"Kwa hiyo wewe ulikuwa unatunza Bikra yake huku unakula wa wenzako kwa miaka mi 5 hawa wanawake hawa tunaowaona kila siku? Miaka yote hiyo mi 5 walikuwa wanamla ndugu "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…