Nimeachana na mpenzi wangu niliyekuwa naye takribani miezi 8

Namshakende

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
867
Reaction score
2,275
Jana nimeachana na mpenzi wangu ambaye nilikuwa naye kwa takribani miezi 8.

aliniaga kwamba anaenda kwenye mkesha wa maombi. Mimi nilishasema tangu mwanzo kabisa: nikiona mwanamke anaelekea kuwa na msimamo mkali wa kidini ; kila kitu mchungaji, padre, askofu, maombi , kanisa , naondoka bila ya kupepesa macho.

Zaidi ya hapo, kwa miezi yote 8 ambayo tumekuwa pamoja, hajawahi kuniambia anaenda mkesha wala kuwa na utaratibu wa kwenda kanisani Jumapili. Ghafla jana ananiaga anaenda mkesha. Hapo nikasema enough is enough.

Kwa hesabu zangu , 95% alienda kunyanduliwa, 5% ndiyo alienda kwenye mkesha wa maombi. Sina ushahidi wa moja kwa moja wa hilo; ni assumption yangu kutokana na mazingira ya situation. Lakini kwangu, hiyo hali ilinifanya nipoteze trust kabisa.

Nimemwambia asije kunitafuta tena wala kufuata vitu vyake. Chupi, nguo zake na takataka zing nimevichoma moto tayari. Chapter closed.

Kwa hiyo wanawake wa JF chini ya miaka 24, jimbo lipo wazi for the time being.

Mishangazi kuanzia miaka 25, msije PM tafadhali. Wengi wenu ni religious extremists
 
Umefanya jambo la kiume mkuu, nakuunga mkono. Ila mashoga wa jF watakuja kukupinga nishaona wanakuponda hapo juu
 
Wanawake muwe makini kabla ya kuingia kwenye mahusiano chunguzeni kwanza utimamu wa akili ya mwanaume tena si mwanaume ni mvulana mnaotaka kuanza nao mahusiano.
 
Jana nimeachana na mpenzi wangu ambaye nilikuwa naye kwa takribani miezi 8.

aliniaga kwamba anaenda kwenye mkesha wa maombi. Mimi nilishasema tangu mwanzo kabisa: nikiona mwanamke anaelekea kuwa na msimamo mkali wa kidini ; kila kitu mchungaji, padre, askofu, maombi , kanisa , naondoka bila ya kupepesa macho.

Zaidi ya hapo, kwa miezi yote 8 ambayo tumekuwa pamoja, hajawahi kuniambia anaenda mkesha wala kuwa na utaratibu wa kwenda kanisani Jumapili. Ghafla jana ananiaga anaenda mkesha. Hapo nikasema enough is enough.

Kwa hesabu zangu , 95% alienda kunyanduliwa, 5% ndiyo alienda kwenye mkesha wa maombi. Sina ushahidi wa moja kwa moja wa hilo; ni assumption yangu kutokana na mazingira ya situation. Lakini kwangu, hiyo hali ilinifanya nipoteze trust kabisa.

Nimemwambia asije kunitafuta tena wala kufuata vitu vyake. Chupi, nguo zake na takataka zing nimevichoma moto tayari. Chapter closed.

Kwa hiyo wanawake wa JF chini ya miaka 24, jimbo lipo wazi for the time being.

Mishangazi kuanzia miaka 25, msije PM tafadhali. Wengi wenu ni religious extremists

Kaazi kweli kweli

i
 
Jambo dogo sana hili. Hebu nipe namba yake kwanza ili niwe namsindikiza kwenye hayo mambi.
 
Back
Top Bottom