Nimeachiwa Mtoto Ndani ya Daladala!!!!!!

Nimeachiwa Mtoto Ndani ya Daladala!!!!!!

ata sijui wapi wallah mana atakua na mushkel kidogo mana nishawaambia sikubandika picha ya mtu ni mimi binafsi lakini bado anishitumu kuwa mimi ni jini ...lakini maa mushkel hakun tabu,,,

Duh! inaonyesha uko kikazi zaidi, hebu bandika na ya babsap wako bac!
 
sina wote hakuna alie nifaa hajazaliwa

Wao nami nimekukamata @last, sasa nakuandalia talaka tatu, utachua zote kwa pamoja na si kwa awamu, naaply rule ya Maalim Shafii, na hizo zitakuwa binding................... unanafasi finyu ya kujitetea kabla hazijatoka
 
Ni bora kumpisha mama mwenye mtoto seat kwani kitu gani kusimama!!? me akiingia mzee au mama mwenye mtoto mdogo huwa naua soo tu kwa kumpisha.... coz wazee wengine nao nomaa.
 
hongera sana kwa hiyo umejipatia mtoto bila kumtolea jasho
Mmefanya vyema kwenda police labda huoyo dada aliona hana uwezo wa kutunza mtoto ni vema amuache katika mikono salama
Lakini una wife ?asije akakugeuzia kibao mheshimiwa
kuna DNA, akiletewa noma home.
 
Mambo vipi wana JF!
Ngoja niwashirikishe kwenye hii issue iliyonikuta leo mornie wakati naelekea kwenye kibarua.
Nilikuwa nimekaa kwenye seat yangu fresh mara akaingia mdada amebeba mtoto mgongoni hata simfahamu akawa kakosa seat akaomba msaada kwangu nimsaidie kumshikia mtoto.
Nikawa nimembeba huyo malaika wa Mungu huku nakibembeleza kimevishwa vizuri kabisa kitoto cha kiume.
Time ya kushuka kwa stand tafuta yule dada haonekani,uliza kila abiria mwenye mtoto achukue mwanae hakuna kila mtu ananiangalia 2.
Ikabidi 2peleke gari police na abiria wote taratibu zote zikafuatwa ndo kwanza nime2lia.
Pls dadaz acheni kutelekeza watoto!!

Hongera sana ndugu, mshukuru mungu kwa kila jambo, maisha hayalingani, wengine wameolewa wana lala mpaka na wa ganga ili tu wapate wa toto lakini hawapati, wanaojaaliwa na mwenyezi mungu wanawatupa, so sad, ila fanya utaratibu ujue jinsi utakavyofanya.
 
Ninakuona kama jini kwa jinsi ulivyotokea kwenye avatar yako na hiyo lafudhi yako ya kiarabu. Hakika umeumbwa ukaumbika


We hujatulia kweli, mara utuambie unaoa January mara useme Nilham umeumbwa ukaumbika, sijui ukoje wewe?
 
Eng, hiyo ni bahati yako hukijiuliza ni kwa nini asingetokea mtu mwingine wa kumsaidia huyo mtoto ikawa wewe??? kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu ni vizuri ukamfuatilia huyo mtoto kwa kila step anayopita. sasa utakuwa God further lol
 
Story imenikumbusha yule dogo aliyetupwa na mam yake Mwananyamala .Alipata msamria mapaka sasa nadhani yuko uholanzi. kuna kipindi alirudi bongo kwa nia ya kumtafuta na kumjua mam yake mzazi

kina mama kibao walijitokeza. Teh teh teh.

Teh Teh....
 
Duh! wengine wanatafuta watoto ,wengine wanawagawa bure...
 
mmh! Ndo kwanza nimegraduate juzi na maisha ndo nayaanza bt ntafuatilia sehemu alipo ili niwe napeleka msaada. Worry out.

i felt for that kid....please please fuatilia habari zake tusaidiane......he might be our future president
 
ata sijui wapi wallah mana atakua na mushkel kidogo mana nishawaambia sikubandika picha ya mtu ni mimi binafsi lakini bado anishitumu kuwa mimi ni jini ...lakini maa mushkel hakun tabu,,,
Mh, ndo wewe hapo!? vp upo double au single!?
 
kama unaweza naomba uwe unafuatilia kujua maendeleo ya huyo mtoto,kama atapelekwa sehemu za kulelea yatima basi uombe upajue uwe unamembelea na kumpelekea chochote huwezi jua kwa nini Mungu kapenda aachwe mikononi mwako.
Bora dada kafanya hivyo kuliko angetoa mimba au angemnyonga mtoto wake kama wanavyofanya wengine.
ushauri mzuri
 
kama unaweza naomba uwe unafuatilia kujua maendeleo ya huyo mtoto,kama atapelekwa sehemu za kulelea yatima basi uombe upajue uwe unamembelea na kumpelekea chochote .

awe anakuja kuchukua hicho chochote cha kumpelekea mtoto kwako na kwangu.
 
kama unaweza naomba uwe unafuatilia kujua maendeleo ya huyo mtoto,kama atapelekwa sehemu za kulelea yatima basi uombe upajue uwe unamembelea na kumpelekea chochote huwezi jua kwa nini Mungu kapenda aachwe mikononi mwako.
Bora dada kafanya hivyo kuliko angetoa mimba au angemnyonga mtoto wake kama wanavyofanya wengine.

ukikutana na mkuu cheusie akiwa hajalewa mbege utampenda kwa mapwent kama haya...................!
Ila akiwa kalewa mbege haoni hatari kuandika vitu vinavyofanana na hii signature yake mpya......................!
 
Back
Top Bottom