Nimeachwa kisa siko romantic

Nimeachwa kisa siko romantic

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Hello Jf.

Nimeachwa na katoto flani kazuri kisa siko romantic.

Hivi kuwa romantic ndio kuwa namna gani?
20210313_085734.jpg
 
Ukiona mtu amekuacha kwasabbu za kipumbav jua tu ana mahusiano mengne ambayo yana mpumbaza na hapo amepata kisingizio mara nying anaeachwa anabak single na anaeacha anakua na mahusiano yake mengne.

Ila sometimes yule anaeacha anabak single kwenye situation kama mmoja wapo ana mahusiano yake mengne na anatafuta sabbu akuache hajui aanze vp unakuta anakufnyia visa na kukukuumza sana ili tu ugive up na pale tu ikitokea yamekufka shingon ndio unaamua nimuache tu aende then utagundua hayuko affected na mamauz yako hapo.

Sasa unajikuta umeacha upo single na yy ameachwa Ila ana mahusiano mengne watu hawana huruma wala kujali moyo wa mtu
 
Back
Top Bottom