Nimeachwa kisa siko romantic

Nimeachwa kisa siko romantic

Kuna kademu kamoja nikakatumia sms WhatsApp njoo ghetto nikupelekee moto kakanijibu yupo busy in short nika blue tiki mzee sijajibu chochote nikauchuna usiku chenyewe sasa mbona hujanijibu!?,
Nikamuuliza nikijibu nini sasa wakati umeshanijibu upo busy !?,mara ooh basi nakuja!
Wanawake wa kiafrica inabidi utumie akili na nusu ili kuwamudu kinyume na hapo utalia kila siku
 
Safi sana baharia ulivomkalia kimya umemuonesha kuwa bila yeye maisha yanaweza kusonga tu ndio maana akajirud...
 
Aisee wanaume wa kiafrica uromantic umetushinda sana. Sijui tunakwama wapi
 
Mwambie apeleke upuuzi wake hukoo...

Akamtafute mwanatamthilia mwenzake
 
[emoji3][emoji3][emoji3]ila JF kwa kula Bando ni noomaaa
 
Embu tusaidie kuwa romantic ndio kunakuwaje? Isije kuwa hata mimi siko romantic ila unanivumilia tu.

[emoji23][emoji23]ingekua hauko romantic ningekwambia...

Kila mahusiano yana namna zake za kuelezea uromantic inategemea mmezoeshana vipi, life style yenu ikoje.. unaweza fanya kitu kwa huyu akakuona uko romantic kwa mwingine ukawa kero
 
Back
Top Bottom