Nimeachwa kisa siko romantic

Ukiona mtu amekuacha kwasabbu za kipumbav jua tu ana mahusiano mengne ambayo yana mpumbaza na hapo amepata kisingizio mara nying anaeachwa anabak single na anaeacha anakua na mahusiano yake mengne.

Ila sometimes yule anaeacha anabak single kwenye situation kama mmoja wapo ana mahusiano yake mengne na anatafuta sabbu akuache hajui aanze vp unakuta anakufnyia visa na kukukuumza sana ili tu ugive up na pale tu ikitokea yamekufka shingon ndio unaamua nimuache tu aende then utagundua hayuko affected na mamauz yako hapo.

Sasa unajikuta umeacha upo single na yy ameachwa Ila ana mahusiano mengne watu hawana huruma wala kujali moyo wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…