Nimeachwa kisa siko romantic

Umeshindwa tu kujiongeza, wala hajamaanisha uromantic wa kwenye tamthilia.... Shida humpi dolariiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila unaweza kuta jamaaa ana ukauzu sasa dada wa watu kaona cha kufia nini hela hapewi bado jamaaa analeta ukauzu
 

Mwanamke wa hivyo ni sumu....hafai kuolewa.....tena hawa wanaofuatilia series za kifilipino, mexico n.k acha kabisa. Wanaiga mifumo ya west. Wao na wafilipino wapi na wapi 😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23]ingekua hauko romantic ningekwambia...

Kila mahusiano yana namna zake za kuelezea uromantic inategemea mmezoeshana vipi, life style yenu ikoje.. unaweza fanya kitu kwa huyu akakuona uko romantic kwa mwingine ukawa kero
Kuna wanaojua kuwa romantic ni ile mvua ya mameseji, uko wapi, umekula nini, unafanya,nini umevaa nini....maneenah kabisa!

Sijavaa kitu, nimejigeuza firigisi ngozi ndani nyama nje.
 
Mwanamke wa hivyo ni sumu....hafai kuolewa.....tena hawa wanaofuatilia series za kifilipino, mexico n.k acha kabisa. Wanaiga mifumo ya west. Wao na wafilipino wapi na wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro wanawake wa west wanajua bro,that's why hata washkaji wanakuwa wana reply on what wana receive kutoka kwa.Sasa haya ya humu hahahaaa daaah aisee.Wee jiulize kwa nini Masaluni kwao hawa hawaweki radio bro.
 
Kuna wanaojua kuwa romantic ni ile mvua ya mameseji, uko wapi, umekula nini, unafanya,nini umevaa nini....maneenah kabisa!

Sijavaa kitu, nimejigeuza firigisi ngozi ndani nyama nje.

Yaani kwanza mi mtu akishaanza izo mambo sijui umekula nini, unafanya nini mara sijui njoo nikulishe bla bla za ivo nachefukwa chap kwa haraka
 
Yes..... Pesa hunogesha kuwa Romantica!!![emoji7]
Hamuelewekagi nyinyi mara nyingi ni wanafiki. Watu tulidhani tukipata ela tutapata mapenzi ya furaha but F That nyie wenyewe hamjui mnataka nn for real.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila unaweza kuta jamaaa ana ukauzu sasa dada wa watu kaona cha kufia nini hela hapewi bado jamaaa analeta ukauzu
Nyny hamuelewekagi mpaka nyi wenyewe hamjielewi aisee. Tukiwa na ela tukianza kuwapa mahitaji mnatuita manice boy mara tunabore mnahisi mkiwa na maganster nd mtapata raha. Haya mnaenda kwa maganster mnakuta maumivu daily mnaendelea kuwang'ang'ania mkihisi nyinyi nd mnakosea maan mliona wenzenu wanawaweza hao watu. [emoji114][emoji114]
 
Ukiona binadamu ambae hana huruma wala haofii chochote kile aogopi kuons meenzake anaumia muogope sana...
 
Hayo mambo ya kuwa romantic waachieni wafilipino na tamthilia zao....mwanaume wa kiafrika na kuwa romantic wapi na wapi?
Na hizo filamu ndo huwafundisha dada zetu hayo mambo
 

Relax kwanza[emoji4]
 
Na hako katoto lazima kama hakako advance form 5 kapo 1st year chuo na kama hayuko

level zote hizo yani yupo kazini n mtu mzima,akili yake itakua ndio imemaliza drs la 7 huu mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…