Nimeachwa kisa siko romantic

Siku atakayokuja kuzipata hizo pesa, mtamwambia akatafute nguvu za kiume...
Hahahahaha atafute pesa tu pesa ina nafasi yake sana kwenye mapenzi

Hivi unafikili angekuwa na pesa angeambiwa hayupo romantic
 
Me huwa nawashangaa watu wanaotoa ushauli ya kuwa tafuta hela mara hauna pesa, mbona mnaziabudu sana pesa kiasi za kuzigeuza kuwa miungu yenu, hivi pesa ndio inawapa uhai au, ujinga, ukiacha hisia zikuendeshe milele hauzi kuwa mkweli na ukweli utabaki milele,
 
Chanzo cha yote hayo hujamla tigo buda. Hiyo ndiyo romantiki yenyewe. Kuna jamaa huko anampakua kisamvu ndiyo anaonekana romantiki balaa. Acha huruma za kifamba. We sogeza chupi pembeni mtie nyuma.

Atakua akiona tu namba yako kwenye simu anarembua na kule kudogo kunapwita bwi bwi bwi.
 
Kuachwa kwa sababu hayuko ROMANTIC kamwe si sababu ya kipumbavu. Na si ajabu alishaombwa awe romantic akapuuzia sasa imekula kwake. Huhitaji kuwa bilionea ili uwe romantic. Au nasema uongo ndugu zangu? 😜
 
Hahahahaha atafute pesa tu pesa ina nafasi yake sana kwenye mapenzi

Hivi unafikili angekuwa na pesa angeambiwa hayupo romantic
Pesesa htaa siyo fimbo...

Kwanza makubaliano hapo ndiyo pesa huwa na thamani...

Ingawa maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu au siyo...
 
Pesesa htaa siyo fimbo...

Kwanza makubaliano hapo ndiyo pesa huwa na thamani...

Ingawa maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu au siyo...
Najaribu kukuelewa eti nashindwa
Kwahiyo hapo shida ni nini
 
Plente maney
 
Mkuu usipoteze muda sana na hao watu,,, hata ukiwa romantic pia atakuona boya then atawazimia ma Gangstar...

Sheria ni moja tu..
Binadamu wengi wanapenda vitu wasivyoweza kuvipata... So jitahidi unavoweza asione kam ndio imefika,, kuwa nae ila ajue saa yoyote unaeza endelea..

BOR wakuogope,,, Wakikupenda watakuchukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…