Nimeachwa na mchepuko wangu baada ya yeye kuwa maarufu

Nimeachwa na mchepuko wangu baada ya yeye kuwa maarufu

Kama ushamchenjua kuna shida gani akisepa? Demu ukishamla imeisha hiyo
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Nilikuwa na mchepuko wangu huko Mneya. Mara nyingi nilipokuwa nikitoka Dar na kwenda Mbeya nilikuwa napunguza gundi pale kwake.

Ni Binti mzuri, mdogo na Mrembo. Dogo ana sura ya Mjomba ila kafungisha balaa mtoto yule wa Kinyaki.

Hapo katikati alishirikishwa kwenye nyimbo moja ya muimbaji wa Injili anaitwa Ama@###%@!! Wa huko mbeya. Katika Wimbo huo aliingiza sauti na kuwa Video Queen. Nilimuona akiweka vipande vya video kama status kwa muda mrefu baada ya ile vidoe kutoka. Akawa maarufu tokana na kuonekana kwenye ile video.

Juzi nimetoka zangu Dar na kwenda Mbeya kwenye mihangaiko yangu nikasema Nimcheki ili nisuuze rungu.

Binti akanichomolea na akaniambia kwa sasa mi si hadhi yake niangalie maisha mengine.

Niliumia sana kwa kuwa nilikuwa nampenda sana yule binti na nilitaka nimpandishe cheo awe mke mdogo ila ndio hivyo baada ya kuwa maarufu akaniacha.

Nimeumia sana.
Mwache aende kama anataka kwenda, kama ulishamgegeda kwani umaarufu anakuwa na pussy machine mpya???
 
Yani mtu umemkojolea multiple times(sorry for my language), anakuambia wewe sio hadhi yake unaumia? Mimi ningejipiga kifua kwa furaha na kusema "hakika nimekula chombo cha hadhi kubwa"🤣🤣
 
How can you loose something you don't have.....
 
Back
Top Bottom