Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

Kwani wazazi wanajua ulikua unampa papuchi kimyakimya!?
 
Tulishaachana mkuu wala sihitaji ushindi
 
Kuhalalisha kuna umuhimu sana
 
Ooh! Tuliachana mkuu japo kwa maumivu makali mno.. Kwa sasa nimeshapona naendelea na maisha mengine

Pole mkuu, achana na mapenzi fanya mambo mengine...

Siku hizi wapo wanaokula kimasihara.. Usiwapuuzie
 
Pole mkuu, achana na mapenzi fanya mambo mengine...

Siku hizi wapo wanaokula kimasihara.. Usiwapuuzie
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...... Huu ushauri umenifanya nicheke Hadi juisi yangu ya nanasi itoke mdomi
 
Wapo waliopitia dip na wakaenda kufanya post graduate na wapo ma fresherz..sasa wote hao lengo ni kutunukiwa degree..sikuona kosa la mwamba sema wewe ndo ulikuwa na mihemko ya ndoa
 
Mleta mada mwaambie mwenzio kama kikwazo ni pesa nipo tayari kugharamia harusi yenu bila shida ili mle tendo la ndoa kihalali na kupata baraka tele.
 
Jamaa alitaka kuondoa mkosi wa kuoa then akuteme
 
Ukibahatika kuwa na mtu sahihi mapenz hayana stress kbisa sema ndo ivo
Ata mtu sahihi bado de libolo uta share tuu. Sema tuu moyo nao unakuwa na kilanga acha tuu. Unataka udanganywe danganywe
 
Hapo hamna mapenzi Dada angu jikaze tuu endelea kulea mtoto hata siku moja maji ayapandi mlima yakishateremka yameteremka

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…