Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

Nimeachwa na mpenzi sababu anataka tuishi pasipo ndoa (sogea tuishi)

Ulishajirahisi acha uachwe akaolewe mwingine anayejielewa maana wewe unakaa na mtu 2 yrs bila malengo aiseee

Unamwambia kabisa nikitongozwa usilete za kuleta nataka ndoa atakayewahi wa ndoa mimi naruka naye

Kama kweli anakupenda atafanya chapu na unamwambia kama uko bikra hupati mpaka ndoa ila kama ushazimuliwa sana. Hapo no comment
 
Utambulisho ulikuwa ni kwa masharti kuwa niache kazi niishi kwake ndipo utambulisho ufuate! By the way nilishasahau naendelea na life langu
Alikupa sababu za kwa nini alitaka uache kazi?
 
Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!

Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)

Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.

Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.

Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ndoa ni nini? Na sogea tuishi ni nini? Umeshamvulia nguo na umefanya ndoa na huyo mtu,,,,maaana umeshajiunganisha nae ki ndoa kwa ngono yenu,,,,maana yake nyinyi mna ndoa kiroho,,,,unachotaka wewe ni kuufaidisha umati wa watu kwamba umeolewa,,,,sasa kama ni kukaza ungekaza kabla huyo jamaa hajakukaza,ukute hata hajakukuta na bikra,,,! Uko na maagano ya damu na kidume kingine huko hafu unamkazia mwana.....NDOA ni Agano na hakuna agano pasipo damu,,,,ikiwa hakuna damu hilo agano ni batili,,,,!!!! Kama umeamua kumuacha wewe muache utapata mwingine wa kufanya unayoyataka
 
Ulishajirahisi acha uachwe akaolewe mwingine anayejielewa maana wewe unakaa na mtu 2 yrs bila malengo aiseee

Unamwambia kabisa nikitongozwa usilete za kuleta nataka ndoa atakayewahi wa ndoa mimi naruka naye

Kama kweli anakupenda atafanya chapu na unamwambia kama uko bikra hupati mpaka ndoa ila kama ushazimuliwa sana. Hapo no comment
Hii principle nitaitekeleza mkuu nikifanikiwa naleta mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom