Nimeachwa na mpenzi wangu, naumia sana

Unaonekana una uvulana mwingi mno

Act like a gentlemen dude!!..
 
kuka tano mkuu..mwanaume msimamo..ila umenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa madogo wanazingua sana
 
Naam Naam Naam !!!
Umeniita mara tatu Dear , bila shaka kuna Jambo kubwa

Nisitiri tu, maisha yenyewe ndo hayahaya ukiwa nayo serious ,utayaona yanaboa fulan ivi[emoji4]

Au nasema uongo Ndugu zangu?.
siamini kama ni wewe dear,kwel umebadilika
 
Tatizo halipo kwake lipo kwako Mkuu maana hivyo vyote ananvyofinya ni Drama zakawaida tu kwa mwanamke atafanya vile yeye hisia zake zinavyomtuma.
Tabia hizi ndio zimekuponza :

Kwenda kwake mara kwa mara - mkuu huna kazi za kufanya ? Muda wowowte akikuhitaji unaacaha mambo yote na kumfata yeye sasa anaona we ni mwanaume wa haina gani ?

Kupiga simu zaidi ya mara 8
Mkuu nahisi hapa hata ma sms utakiwa unatuma yakutosha hadi uhakikisha zile sms za kifurushi ulizojiunga ziishe.
Acha hii tabia mara moja. Wasiliana na mtu kwa kipimo kama yupo interested kuchat chat nae vizuri nakama yupo tayari kuongea na wewe ongea nae vizuri tu... ila sio ku force nakuwa Needy unajishushia heshima yako Mkuu


Kuomba msamha hovyo hovyo?
Mkuu inaonesha hujiamini na unaendeshwa sana na izo hisia za mapenzi.
Unaomba msamaha kwa kosa gani haswa?
Puuzia hizo drama mkuu
 
Nimekuelewa sana na nimejifunza kitu next time siwez fanya ujinga huu i swear
 
Why ulikuwa unamuomba msamaha?

Nitumie namba yake nimuweke sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…