Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
Pole sana. Jambo moja ni dhahiri! Kuna makosa yaliyofanyika tena kwa kujirudia rudia. Angalia namna ya kuyajutia na kutubu kisha rejea kwa mpenzi wako uombe nafasi nyingine. Nina imani atakuelewa. Usimuache aende zake kama ndo anatibu hisia zako.
 
Ila nafikiri mleta mada ni mtoto tu, sisi wengine tumeshakuwa makonkodi Sara anaweza akatangaza kuvunja Penzi asubuhi....jioni Agness akaniambia nina ujauzito wako.

Mleta mada kaa kijanja Dunia haikusubiri.
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
Pole sana.

"β€œWhen one door closes another door opens; but we so often look so long and so regretfully upon the closed door, that we do not see the ones which open for us”.

- Alexander Graham Bell.
 
Mleta mada kashachanganyikiwa na unazidi kumchanganya kwa yai hili mkuu😁
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
Najua akilini unaona huwez ishi bila yeye ila naomba nikuambie MTU pekee ambaye huwezi ishi bila yeye hapa duniani Ni Mungu pekee....
 
Oya mkuu haya huyo apo juu ushindwe wewe usimuogope lakini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
.

Ni muda wako wa kuwapruvia kuwa wew sii bure mlimaliza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒ πŸƒ
Nishamwambia nampenda
 
Badoo mpaka useme......inabidi upigwe matukio mengine kama manne hvi ndio utajua kuwa mapenz sio ya kuwa nayo serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…