Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Nipe muongozo wako sweetheart... Ushawahi kuchwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe muongozo wako sweetheart... Ushawahi kuchwa...
I love youNipe muongozo wako sweetheart... Ushawahi kuchwa...
Hakika hayanaga muongozo sweetheart...I love you
I hate you
I know you love me
Thubutuuuuuuuuu
Wewe mimi huwezi niacha
You wish
❤️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimwachie nani uweeeeeeehhh😛😛😛
Mambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Ni kawaida....hiyo hali itaisha tu taratibu hata kama mlikua kwenye ndoa. Kama hamkua kwenye ndoa ndio hutakiwi kujiumiza hakua haki yako.Mambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Kabiiiiiiiiiiiiiiisa lo. Zikija weee fumuaaaaaa 🤭🤭!Hakika hayanaga muongozo sweetheart...
Mm sijaelewa sijui huyo aliyevurugwa km kaelewa😀Upo sahihi kuto accept kwasababu unampenda. Huo ndio ushauri wangu namba 1
Namba 2, uki accept utakuwa haumpendi tena.
Namba 3, usi accept ku accept utakuwa haumpendi tena
Mimi nina suluhishoa tatizo lako.. Fanya kuni Pm Namba yako halafu tuonane pale Kipepeo Beach Kigamboni kwa ajili ya Kuanza kukusaidia tatizo lako Sawa dada?Mambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Nlikuwa nasubiria hili swali...Ngoja atujibu ndipo tuchukue hatua...hasa yakumsaidia pia kumshauri kama ataelewaWe jinsia gani?
Ukiolewa na ME mwingine akikufuata tena kwa akiri za wanawake unaweza beba hata mimbaMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Pole sanaMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.
Njia ya kupona haraka kwenye hiyo hali, tafuta demu mwengine wa kukuweka busy, utamsahau…ukikaa mwenyewe utawaza sanaMambo zenu.
Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.
Naombeni Ushauri.