Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Kunywa smart gin aka kisungura kila ukinywa fundo moja jipige kifuani useme mimi ni sungura🐰
 
Screenshot_20240821_004436_Gallery.jpg
 
Moyo unamasikio na unasikia,sema nao katikati ya maumivu makali uliyo nayo.hiyo ndio dawa pekee nao utapona
 
Mwa
Yani ukimpa mambo we ndo fala, jifanye unateseka na kuachwa kwake hujapata mbadala akijaa kwenye mfumo mmalize utamsoma kitu gani kinampa maumivu kwenye mapenzi tumia hicho kumpigia halafu mute km sio wewe usimblock ila mpuuze kona zote, kama ni lazima kukutana unamwenya/tabasamu la kulazimisha tu halafu endelea na hamsini zako,,, lazima akuite mama
Mwamba huyu hapaaaa👌
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
Upo sahihi kuto accept kwasababu unampenda. Huo ndio ushauri wangu namba 1

Namba 2, uki accept utakuwa haumpendi tena.

Namba 3, usi accept ku accept utakuwa haumpendi tena
 
Back
Top Bottom