Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
What happened, this will help us analyze the reality, (situational analysis), though, that involves your personal life (in those days we used to say to love is to raise interest). Swala la mapenzi linatatuliwa na wahusika wawili sisi tunaweza kubadilishana uzoefu tu, ( sharing experiences), wewe ndiye ulikuwa unapata ze utamu umeshindwa kujipendekeza
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
Kwenye fizikia au chemistry kuna facts ambazo huwezi kuzikeuka hata kama unapenda kufanya hicho kitu. Mfano kanuni ya nguvu ya uvutano, hata kama ukipenda vipi wewe kaa juu ya paa la nyumba jirushe lazima ufe, au kemia, wewe hata kama unapenda vipi lala la jiko la mkaa ndani, hewa ya ukaa itakuua. Maana yake nini? Kila jambo lina kanuni yake, hata kama unapenda vipi huwezi kukeuka kanuni lasivyo umauti utakukuta. Hivyo hili tukio lichukulie kama kanuni, lipo nje ya uwezo wako na huwezi kuliweka akilini mwako kwa sababu ndivyo ilivyo na huyo aliyekuacha hakufai
 
Naweza sema umeingizwa katika kipino kikubwa Cha upendo ..
Mosi . Unfollow pages zake zote
Futa contacts zake japo najua umezikariri but delete them
Usiingie kwenye mahusiano mapya tena mpaka uwe healed ,
Move on
Uwe na kazi nyingi za kukukeep busy na kukupa maokoto
Move on wala usimchukie shukuru ,
Pengine universe imekuandalia mtu Bora zaidi ya huyo you deserve better

Just Move On
 
Ndo maana nikasema umejaa, hakuna mwanaume anaesema ukweli wakat wa kutongozana, vyote hivyo hapo juu ni ukweli mtupu, hakuna uongo hata 1. Natabirika
Usiponielewa utanielewa mwakani
 
We jinyonge tu atajuaje kuwa ulikuwa unampenda wakati upo vizur unakula vizur tu jinyonge wacha barua na maandishi yakimuhusu
 
download (14).jpeg
 
Back
Top Bottom