Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

Ukiachwa na unaempenda usiachike unaachikaje kwa mfano? Akisema usintafute mtafute,akisema usiniongeleshe muongeleshe.

ILa fanya hayo kama unahisi ana vi upendo ndani yako hata kwa mbali yawezekana umepooza sana jaribu kum activate.

Kero wakati mwingine wanaume tunazitafsiri kama upendo so mkereee
NAfanya ivyo
 
Mambo zenu.

Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation.

Naombeni Ushauri.
Move on and stay strong.

Jipende wewe kwanza
Tunza Afya yako,Kula vizuri jipe furaha
Jiangalie sana kwa kiooo,sanaa kisha jisemeshe ukiwa mbele ya kioo.
Hii ni tiba nzuri kuliko zote ntakuja kuwaeleza namna ya uifanya
 
Back
Top Bottom