Nimeachwa na mwanamke kisa nanuka mdomo

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,886
Reaction score
1,038
Jamani wana MMU,

Nasikitika kuachwa na sweetie wangu kisa eti nanuka mdomo kupindukia na kaniporomoshea matusi mazito eti mdomo wangu unanuka kuliko yai visa.

Hapa nilipo nina majonzi mazito kwa maana hata nikitafuna big G bado mdomo unakuwa na harufu japo nina meno meupe kama barafu.
 
Ukiswaki ukumbuke kusugua na ulimi wako pia..

Na juu ya ulimi pia. Apige mswaki asubuhi na usiku,ikiwezekana na mchana. afute mouth wash awe anasukutua. Kumuona dentist ni muhimu pia maana akipata msichana mwingine atamkimbia
 
Na juu ya ulimi pia. Apige mswaki asubuhi na usiku,ikiwezekana na mchana. afute mouth wash awe anasukutua. Kumuona dentist ni muhimu pia maana akipata msichana mwingine atamkimbia

Juu ya ulimi wapi mkuu? Mouth wash nishatumia hadi za Ufaransa
 
Thanx a lot man. Hii mada tunageuziwa wanaume wote in no time. Ngoja waje waliowahi kuumizwa.
 
Umekwenda kumuona daktari akakupa ushauri?
 
Nenda hospital ndugu. Tena mshukuru huyo mpenzi wako kwa kukwambia ukweli mana umechukua hatua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…