Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Jamani wana MMU,
Nasikitika kuachwa na sweetie wangu kisa eti nanuka mdomo kupindukia na kaniporomoshea matusi mazito eti mdomo wangu unanuka kuliko yai visa.
Hapa nilipo nina majonzi mazito kwa maana hata nikitafuna big G bado mdomo unakuwa na harufu japo nina meno meupe kama barafu.