Nimeachwa na mwanamke kisa nanuka mdomo

POle ..pole kwa yote..Mkuu harufu hiyo sii ya mdomo... hiyo harufu inatokea tumboni!! kizibo cha pipe la utumbo lipo lose/open !! nenda ukajitibu!!
Good luck

Ajaribu kumeza tonge akiwa kichwa chini miguu juu akiona linarudi aju Muscle of oesophagus zipo loss.. Kamuone doctor fastaaaaa
 
Una bahati kakuambia sababu ya kukuacha. Nenda kwa daktari wa meno na ushauriane nae baada ya kukuangalia.
 
Hahaha umevurugwa? Was this post for here?
Haha hapana sijavurugwa. Nimekumbuka tu jinsi tunavyoambiwa tunanuka midomo, miguu na jasho. Sasa huyu Jamaa ni kama kawapa playground.

I think it's another cooked up tale anyway, my mistake if I'm wrong.
 
Well kama njia zote ushatumia lazima tumbuni mwako kuna hitilaf nenda kwa specialist afanye vipimo sahihi
 
hii ni chai kama chai nyingine nilizowahi kunywa
 
Nawaza hata kujinyonga kwa hili tatizo

Sasa ukijinyonga kabla hujatibu tatizo wale watakaokuongesha si utawatesa? Mana harufu itawatesa mno hata wasijue itokapo. Hivyo nakushauri utibiwe kwanza ukishapona ndo uamue kujinyonga au kuishi
 
Nasugua sana mkuu

Nenda kamuone daktari wa meno. Unaweza ukawa na cavities kwenye meno au ugonjwa kwenye fizi. Wa dudu wanaozesha meno pia huchangia kwa kiasi kikubwa kutoa harufu mbaya mdomoni

Pia zingatia upigaji mswaki wako pamoja na dawa ya meno.
Piga angalau mara mbili kwa siku.
Kumbuka kutumia mswaki mpya kila week ili kuboresha usafi wa meno yako.

Unapoamka asubuhi na kabla ya kulala. Pia ni vyema ukatumia fresh breath mint.. . Inasaidia pia.
Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…