Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
POle ..pole kwa yote..Mkuu harufu hiyo sii ya mdomo... hiyo harufu inatokea tumboni!! kizibo cha pipe la utumbo lipo lose/open !! nenda ukajitibu!!
Good luck
Thanx a lot man. Hii mada tunageuziwa wanaume wote in no time. Ngoja waje waliowahi kuumizwa.
Thanx a lot man. Hii mada tunageuziwa wanaume wote in no time. Ngoja waje waliowahi kuumizwa.
Haha hapana sijavurugwa. Nimekumbuka tu jinsi tunavyoambiwa tunanuka midomo, miguu na jasho. Sasa huyu Jamaa ni kama kawapa playground.Hahaha umevurugwa? Was this post for here?
Well kama njia zote ushatumia lazima tumbuni mwako kuna hitilaf nenda kwa specialist afanye vipimo sahihi
Kamuone dokta wa kinywa na meno, utapata tiba
Tafta mouth wash utakua poa. Ikizidi muone dakitari..
tafuta ya north korea huwa ni nzuri sanaJuu ya ulimi wapi mkuu? Mouth wash nishatumia hadi za Ufaransa
Nawaza hata kujinyonga kwa hili tatizo
Nawaza hata kujinyonga kwa hili tatizo
Nasugua sana mkuu