pericolonitis
Member
- Aug 24, 2015
- 51
- 8
Nenda clinic ya meno hilo tatizo lako dogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Albosignathus, kamuone dakitari (kinywa na meno) hilo ni tatizo la kiafya. Muombe Gelofurendi wako akupe muda ushughulike na tatizo lako na ukilishalitatua mrudiane!Nasugua sana mkuu
Chukua mdalasin twanga. halafu weka vijiko viwili vya chai, maji ya moto na asali vijiko viwili...ni dawa nzuri harufu itakata yoote! tumia asubuh na usiku
Tatizo Ilo Linasababishwa Na Kutokunywa Maji Ya Kutosha, Ndiyo Maana Hata Ukipiga Mswaki Asubui Na Jioni Bado Harufu Mbaya itakuwa Inatoka.
Jitahidi Kunywa Maji Yasiyopungua Lt 3 - 5 Kwa Siku Na Tatizo Lako Litakoma Mungu Alimwumba Binadamu Na Akaweka Maji Yawe Sehemu Kubwa Ya Kujenga Afya Ya Mwanadamu.
Wataalam Wa Afya Wanatuambia 80% Ya Mwili Wa Mwanadamu Unategemea Maji. Sasa Hapo utagundua Umuhimu Wa Maji.
Nitafute mimi Dawa ya kukutibu maradhi yako ya mdomo kunuka ninayo ukihitaji dawa toka kwangu bonyeza hapa.MawasilianoJamani wana MMU,
Nasikitika kuachwa na sweetie wangu kisa eti nanuka mdomo kupindukia na kaniporomoshea matusi mazito eti mdomo wangu unanuka kuliko yai visa.
Hapa nilipo nina majonzi mazito kwa maana hata nikitafuna big G bado mdomo unakuwa na harufu japo nina meno meupe kama barafu.

Hicho kizibo kinatibiwaje mkuu?
Mkuu, anakuambia meno meupe kama snow!! hapo Dentist hahusiki kbs ...!Una bahati kakuambia sababu ya kukuacha. Nenda kwa daktari wa meno na ushauriane nae baada ya kukuangalia.
Jamani wana MMU,
Nasikitika kuachwa na sweetie wangu kisa eti nanuka mdomo kupindukia na kaniporomoshea matusi mazito eti mdomo wangu unanuka kuliko yai visa.
Hapa nilipo nina majonzi mazito kwa maana hata nikitafuna big G bado mdomo unakuwa na harufu japo nina meno meupe kama barafu.
Mkuu, anakuambia meno meupe kama snow!! hapo Dentist hahusiki kbs ...!
Yes, yangu ni Ivory !! Jee yako..?!!Weupe wa meno sio uzima wa meno. Kuna watu wana meno ya njano, imara hawana tatizo lolote