ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
π«‘π«‘π«‘ make sure wewe ndiyo unapendwa kwenye mahusiano yatakayo fuata.Wewe ndiye provider,wewe ndiye unaye amua kuoa tena sio kinyonge. A woman should be begging you to marry her,hii Mungu amekuepushia zahama maana wewe ndiye ulikua the weak person kwenye mahusiano.Nashukuru sana mkuu kwa kunitia moyo.
Ujinga wakati wa kwenda tu, sio wakati wa kurudi.
Mwalimu inaonekana kuna mwamba ambaye yeye anampenda sana na amememtingisha kwamba kuna stranger (wewe) anataka kwenda kutoa mahari. Mtu katingishika kweli mpaka imebidi uambiwe vuta handbrake wakati anayependwa akisubiriwa kutimiza ahadi yake . Hii inaitwa multi-dating,ungepewa ruhusa ya kwenda kutoa posa kama plan A yake ingefeli.