Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Kuna vitu vya kumuumiza mwanaume sio mbususu aseee ..Yani upwiru umetese wakati now day ni kamata dagaa piga ..awe na moyo wa kiume bana huo ni uzaifu

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
Mwanaume akishajipata hawezi kuteswa na upwiru, kamata nchinje ni nyingi mno. Sema akiwa ka fall kwa mtoto flani ndio inaumizaga.
 
Alifanya kitendo gani kiovu namna hio?
 
Maake hapo kwanza ncheke 🤣! Hii ngoma ngumu sana babu
 
🤣🤣🤣🤣Waambie ushangazi mwisho mikese
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Shangazi ujipende sio ukae kiboya. Soko lenu lipo msivunjike moyo japo Under 23 wanasumbua
[/QUOTE]
Tunajiachiaje na mchina kaleta vipodozi vimeandikwa ant-wrinkles 🤣🤣?
 
nakuapia atarudi kwaako na kkusema anakupenda tupo aapa ata mwezi hautaisha sasa jichanganye umrudie utaliaa kkwenye iyo ndoa hadi useme poo uyo ana mtu wake kuwa nawe aliisi kama kakoseaa njia, tafuta kipoozeo cha kutuliza machungu uyoo usimtafute lazima arudi kwako akirudi wee chakata mbususu usijitie baba uruma kumuowa
 
Haaa haaa umenikumbusha A. Alianza¹ kuniletea jeuri ya kunibania utamu. Eti bado mapema. Bado mapema wakati hela zangu unakula ( mbona huoni mapema). Nikamchana live,mimi siwezi kuwa nakupa hela halafu nyege anapunguza mwingine. Kakanikaushia kama mwezi hivi. Baada ya hapo kananiita kenyewe nije kula mzigo kila weekend. Mwanamke asikuendeshe
 
Kasharudi mkuu. Kanipigia jana usiku anajichekeleshaa..

Akataka aje kwangu nikamwambia sipo home..

Asubuhi hii tena kapiga ila sijapokea coz nipo Mahakamani.

Acha kukaza fuvu pokea Upendo. Amejifunza ndio maana amerudi.

Mm imenitokea hiyo. Hua inaumiza sana. Muhimu kubalianeni kupeana muda wa kujitafakari kama bado mnahitajiana au lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…