Kabisa mkuu iko vizuri inasaidia sana !Nimefurahi kuona hii mbinu yangu ya kivita kuna watu mnaizingatia😀 inaokoa jahazi sana.
Kwa kabisa mkuu,Ukiona haeleweki respect yourself enough to walk away.
Una uhakika gani, kwamba wewe ndo bora kuliko wanaume wote?Labda hilo la kwanza mkuu, la pili hapana.
[emoji28][emoji28]Kataa NDOA
Tunza kibunda chako
Na hili ndo jibu la uhakika.Itakua kampata anayempelekea moto zaidi yake
NakaziaNa hili ndo jibu la uhakika.
[emoji23][emoji23] dah!Ukimpenda mwanamke na una muhitaji kabisa, jihakikishie siyo single mother alafu mpe mimba asiyoitarajia then kaa kimnya utakuja kunishukuru
ILI UWE MWANAUME NI LAZIMA UACHWE, UACHWE NA UACHWE TENA.
Sawa mkuu, nitajirekebisha.Wanaume hatulii kwa sauti dogo! Komaa
Eeh...Nakazia
Asante sana mkuu. Umenitia moyo.Ukimpenda mwanamke na una muhitaji kabisa, jihakikishie siyo single mother alafu mpe mimba asiyoitarajia then kaa kimnya utakuja kunishukuru
ILI UWE MWANAUME NI LAZIMA UACHWE, UACHWE NA UACHWE TENA.
Iko njemaNdiwooo mkuu!!
Tunajiachiaje na mchina kaleta vipodozi vimeandikwa ant-wrinkles 🤣🤣?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Shangazi ujipende sio ukae kiboya. Soko lenu lipo msivunjike moyo japo Under 23 wanasumbua
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 sawa Auntie, nikija Moro tutaishi kindewa.Mndewa niache bwana,we mwenyewe unajua mi shangazi Yako ni Auntie....tofautisha shangazi na auntie 🤣🤣🤣
Ina maumivu ila unajifariju kua huna maumivu.Hio ni exit Plan isio na maumivu.
Maumivu yanakata amini kwambaIna maumivu ila unajifariju kua huna maumivu.
Umia tu ni kwa muda na utamsahau.