Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Ukimpenda mwanamke na una muhitaji kabisa, jihakikishie siyo single mother alafu mpe mimba asiyoitarajia then kaa kimnya utakuja kunishukuru

ILI UWE MWANAUME NI LAZIMA UACHWE, UACHWE NA UACHWE TENA.
 
Ukimpenda mwanamke na una muhitaji kabisa, jihakikishie siyo single mother alafu mpe mimba asiyoitarajia then kaa kimnya utakuja kunishukuru

ILI UWE MWANAUME NI LAZIMA UACHWE, UACHWE NA UACHWE TENA.
[emoji23][emoji23] dah!
 
Ukimpenda mwanamke na una muhitaji kabisa, jihakikishie siyo single mother alafu mpe mimba asiyoitarajia then kaa kimnya utakuja kunishukuru

ILI UWE MWANAUME NI LAZIMA UACHWE, UACHWE NA UACHWE TENA.
Asante sana mkuu. Umenitia moyo.
 
Nakumbuka siku naambiwa tuachane gafla nilihisi mwili wote wa moto hata nilipokuwa nimelala nilihisi kama panabana kitanda kabsa 6 kwa 6 ila kilikuwa hakitoshi nilijaribu angalau niyasahau ila weeeh nguv ziliniishia hata kusimama ilikuwa kama mateso siku zile šŸ˜€ Mkuu I can feel your pain but hakuna jeraha lisilopona jipe muda yote yataisha utakuwa poa tu na utayafurahia maisha kwa wengne ambao watakuwa zaid yake ila hawatakuwa kama yeye MUNGU awe na wewe kwenye kipindi hiki kigumu mkuu
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Shangazi ujipende sio ukae kiboya. Soko lenu lipo msivunjike moyo japo Under 23 wanasumbua
Tunajiachiaje na mchina kaleta vipodozi vimeandikwa ant-wrinkles 🤣🤣?
[/QUOTE]
Hio anti wrinkles ya kibabe eeh
 
Mndewa niache bwana,we mwenyewe unajua mi shangazi Yako ni Auntie....tofautisha shangazi na auntie 🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 sawa Auntie, nikija Moro tutaishi kindewa.
 
Back
Top Bottom