Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Ukiionesha kumtaka saana basi ndio anakuwa na advantage juu Yako.

Fanya kama unafuga paka.
Weka maziwa akipita atayaona ,
kama anayataka atakunywa.
Hataki mwache.
Paka hatafutwi Wala aaminiki anaweza kupiga makucha for no reason.
Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi huu, nitaufanyia kazi.
 
Hatimae ume graduate from heartbreak university with honours mkuu,you will never be the same again. Hao viumbe sio wa kuwapa umuhimu moyoni . Moyo una haki ya kuwa na stress za hela tu,kuupa stress za mapenzi ni kuuonea tu.
 


Karma is a bitch! Bado una mengi sana ya kulipa kutembea na dada wa watu na kuwaacha.
 
Hayo ni makosa makubwa sana kwa mwanaume mkuu.

Pole sana 😅
 
Hatimae ume graduate from heartbreak university with honours mkuu,you will never be the same again. Hao viumbe sio wa kuwapa umuhimu moyoni . Moyo una haki ya kuwa na stress za hela tu,kuupa stress za mapenzi ni kuuonea tu.
Nashukuru sana mkuu kwa kunitia moyo.

Ujinga wakati wa kwenda tu, sio wakati wa kurudi.
 
Kabla sijaanza nae mahusiano nilishamuelezea historia ya maisha yangu na akakubali kunipokea hivyohivyo, akasema tusahau yaliyopita tugange yajayo kwasababu hata yeye alikuwa na past life yake ingawa haikuwa mbaya kama yangu.
Hapo kwenye kumueleza historia yako yote kamanda uliuza ramani ya vita, uenda yeye alikuelezea historia yake feki/alikuuzia ramani feki ukajaa

Ogopa sana kua kwenye mahusiano na mwanamke mwenye rafiki yake anaemsikiliza kwa kila kitu, mda wowote anachana mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…