Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

JaphetJacob

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
106
Reaction score
121
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita.

Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha.

Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope.

Napmba ushauri.
IMG_20210609_153844_122.jpg

 
Epuka mazingira ya upweke, penda kujichanganya na watu jitaidi kujiweka busy, ondoa vitu vyake vyote ulivyonavyo karibu yako, tambua ulikuwa maisha kabla yake na unatakiwa uwe nayo ata baada ya kuachana nae
 
una umri gani na upo wapi?

Sio vizuri. Mrudie mwenzako, mpaka amekufungulia Uzi[emoji1787]
 
Back
Top Bottom