Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

Jamani nimeachwa na mpenzi wangu( girlfriend) ni takribani miezi miwili imepita, naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha
Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope

Namba yangu ni +255784130998 kwa ushauri
Nakupa namba ya demu mkali wa kukuliwaza.
 
Madhara ya kuacha puli haya...wenzio tumepiga masta had tunamaliza form6 ili kuepuka mambo kama hayo na tukafaulu vzur form 6 sabab ya puli...sasa wew unajifanya mjuaj hutak puli ..utafeli maisha...weng tumetoboa elimu za sekondar sabab ya puchu
 
Report ya WHO ya mwaka 2018 inaonyesha kwamba watu laki 8 hufariki dunia kila mwaka kwa msongo wa mawazo wengi wao wakiwa na umri wa miaka 15-29 na 80% ni mahusiano ya kimapenzi.

Ni kweli kwamba maumivu ya kuachwa na mpenzi wako yanatia huzuni sawa na mara 10 zaidi kufiwa na mtu wako wa karibu km mama au Baba, isipokuwa mtoto, mama anaumia zaidi anapofiwa mtoto zaidi ya uchungu wa labour.

Ni ngumu kukabili mawazo ya mtu lakimi Mambo yafuatayo yatakusaidia ku-handle msongo wa mawazo ulionayo hasa kuachana na mpenzi wako.

1.Epuka kulipiza kisasi, mapenzi ni ya shetani ndoa ya Mungu, sema Ahsante Mungu kwa kuniepusha na dhambi,kubali yalitokea tafakari maisha yako.

2.Epuka kusikiliza nyimbo za huzuni sijui Moyo mashine, bado,na huu mpya wa Rapcha,angalia Movie za ngumi, vita, soma Biblia/Quran na vitabu vya ujasiriamali

3.Acha kusema amenizingua uskumbuke vilio vyake vya msahama uliompa wkt alipokosea binadamu tumeumbwa tofauti usiseme mbona Mimi nilimsamehe kwa kosa kama hili. yeye ameshindwa?

4.Usiseme upo SINGLE, sema uko available but alone.liverpool wana wimbo wao ,you will never walk alone .

5.Epuka kutuma sms za bht mby kwa Ex wako, futa no zake ,ex is like a toilet paper you can't use it twice, usiseme sahamani nimekosea kutuma sms,acha kuomba msahama mara nyingi nyingi umeomba mara moja hajakusamehe nyuti km amekusamehe na kakwambia it's over.kubali.

7.Epuka kubadilisha mwoneko wa mavazi et upendeze utarudi au umtishie kununua gari kwamba atarudi wanawake wana creteria zao hata ukinunua ndege akisema amesema ,kwa hili muulize Bezos na Bill Gate.

8.Usikumbuke yaliyopita lbd hukupiga mechi siku ya mwisho au hukupiga kiss au ulipiga lkn ulipiga kitoto au mwez mzima hukupiga kbs..Yaliyopita yamepita hata akirudi huwez rudisha siku.

9.Usikurupuke kuanzisha mahusiano mengine au kutafuta demu la kupiga, acha hii tabia utakuwa sugu na unaweza fanya maamuz ukajutia badae (opportunity cost).
Kama una picha kwnye simu ,albam zifute, hutaki kuzifuta basi hifadhi sehemu ambyo huwez kuziona mara kwa mara.,futa hadi sms..na uache kusimlia kila mtu kuhusu ex wako.

kwa Leo niiishie hapa
 
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita.

Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha.

Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope.

Napmba ushauri.
Kidume mzima unalia kuachwa?? Acha kuaibisha malegend wewe.Si tulishakubaliana kuwa Mwanaume ukipigwa kibuti una mute au?!!.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Pole sana jitahidi kuwa busy na mambo yako, kuna maisha baada ya kuachwa songa mbele, Mungu akusaidie.
 
1623306022446.png
 
Epuka mazingira ya upweke, penda kujichanganya na watu jitaidi kujiweka busy, ondoa vitu vyake vyote uli yonavyo karibu yako, tambua ulikuwa maisha kabla yake na unatakiwa uwe nayo ata baada ya kuachana nae
Fata huu ushauri utakusaidia sana
 
Si umroge tu arudi. Dawa zooote hizi tena huendi mbali waganga siku hixi wapo kila mtaa

elfu mbili tu.mnaenda kumkaanga makaburini Uchi usiku sasa je?

Atakuja kwa magoti piga mashine mpaka azae mapacha kumi
Halafu muache atambae na Dunia.
 
Back
Top Bottom