Report ya WHO ya mwaka 2018 inaonyesha kwamba watu laki 8 hufariki dunia kila mwaka kwa msongo wa mawazo wengi wao wakiwa na umri wa miaka 15-29 na 80% ni mahusiano ya kimapenzi.
Ni kweli kwamba maumivu ya kuachwa na mpenzi wako yanatia huzuni sawa na mara 10 zaidi kufiwa na mtu wako wa karibu km mama au Baba, isipokuwa mtoto, mama anaumia zaidi anapofiwa mtoto zaidi ya uchungu wa labour.
Ni ngumu kukabili mawazo ya mtu lakimi Mambo yafuatayo yatakusaidia ku-handle msongo wa mawazo ulionayo hasa kuachana na mpenzi wako.
1.Epuka kulipiza kisasi, mapenzi ni ya shetani ndoa ya Mungu, sema Ahsante Mungu kwa kuniepusha na dhambi,kubali yalitokea tafakari maisha yako.
2.Epuka kusikiliza nyimbo za huzuni sijui Moyo mashine, bado,na huu mpya wa Rapcha,angalia Movie za ngumi, vita, soma Biblia/Quran na vitabu vya ujasiriamali
3.Acha kusema amenizingua uskumbuke vilio vyake vya msahama uliompa wkt alipokosea binadamu tumeumbwa tofauti usiseme mbona Mimi nilimsamehe kwa kosa kama hili. yeye ameshindwa?
4.Usiseme upo SINGLE, sema uko available but alone.liverpool wana wimbo wao ,you will never walk alone .
5.Epuka kutuma sms za bht mby kwa Ex wako, futa no zake ,ex is like a toilet paper you can't use it twice, usiseme sahamani nimekosea kutuma sms,acha kuomba msahama mara nyingi nyingi umeomba mara moja hajakusamehe nyuti km amekusamehe na kakwambia it's over.kubali.
7.Epuka kubadilisha mwoneko wa mavazi et upendeze utarudi au umtishie kununua gari kwamba atarudi wanawake wana creteria zao hata ukinunua ndege akisema amesema ,kwa hili muulize Bezos na Bill Gate.
8.Usikumbuke yaliyopita lbd hukupiga mechi siku ya mwisho au hukupiga kiss au ulipiga lkn ulipiga kitoto au mwez mzima hukupiga kbs..Yaliyopita yamepita hata akirudi huwez rudisha siku.
9.Usikurupuke kuanzisha mahusiano mengine au kutafuta demu la kupiga, acha hii tabia utakuwa sugu na unaweza fanya maamuz ukajutia badae (opportunity cost).
Kama una picha kwnye simu ,albam zifute, hutaki kuzifuta basi hifadhi sehemu ambyo huwez kuziona mara kwa mara.,futa hadi sms..na uache kusimlia kila mtu kuhusu ex wako.
kwa Leo niiishie hapa