Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

kuwa mpole tu dadangu utakaa sawa. umikataa kupima πŸ‘† 😎 lkn naona unaanza kurudi vizuri
Nitarudi tu!! ndiyo kawaida ya binadamu wote!

Ila Nakushauri tu!! zako hizo za kidole shahada kunako naniliu jitahidi sana uache mkaka!! utanikimbuka!!! .
 
Nitarudi tu!! ndiyo kawaida ya binadamu wote!!

Ila Nakushauri tu!! zako hizo za kidole shahada kunako naniliu jitahidi sana uache mkaka!! utanikimbuka!!! .
He naona bado hujakaa sawa.
 
Jiue tu ili usiumie tena
 
Jenga tabia moyoni mwako huyo ni mwanadamu mlikutana na ipo siku ataondoka, pia mwombe MAungu akusaidie kumsahau vilevile usifanye haraka kuingia kwenye mahusiano mapya jitathimini upya ulikosea wapi?. pia elewa kuumiza moyo ni sehemu yackujifunza ili kutengeneza mahusiano mapya yatatayokuja mbeleni, angalia kwa mtazamo wa hasi itakusainia zaidi
 
Kubali tu kama umeachwa na endelea na maisha mengine in addition tafuta mpenzi mngine maana njia ya kumsahau mpenzi wa zaman ni kutafuta mpenzi mpya
 
Alikuwa na nini cha ziada hadi uchanganyikiwe hivo jamani
 
He naona bado hujakaa sawa.
Ni kweli kabisa mkaka! Uko sahihi! Hujakosea!!

Kwa utaratibu huu!!! kamwe sinto na sinta kaa sawa. Narudia tena sijakosea......!!!

Japo najua mazoea yana tabu yake...utajitahidi utayasahau.
 
Nenda katoe sadaka halafu tafuta hela na weka mambo yako ya kifedha vizuri.Huyo angekufanya uwe maskini. Ili kumsahau kirahisi kumbuka jambo lake baya hata likiwa kidogo.
 
Ni kweli kabisa mkaka! Uko sahihi! Hujakosea!!

Kwa utaratibu huu!!! kamwe sinto na sinta kaa sawa. Narudia tena sijakosea......!!!

Japo najua mazoea yana tabu yake...utajitahidi utayasahau.
Hahahahaaa unachoniacha hoi mie ni hii confusion yako yaani hili tatizo la 2mints in 2mints out inaonekana ni sugu kwako ona now umerudi kwa mustari kidogo lkn najua ukirudi tena ntakuona utavo change
unahitaji tiba m'badala
 
Kadri unavotendwa ndo unavozidi kuwa imara na mzoefu wa mapenzi
 
Mapenzi yanavowatesa watu, mie nacheka mbavu sina khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…