Goldnessa
JF-Expert Member
- Apr 30, 2021
- 373
- 1,037
Kweli kabsa ulimwengu usionekana una mambo,yahitaji nguvu ya ziada sana kutambua..Haya mambo huwa yapo kweli au ni uzushi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabsa ulimwengu usionekana una mambo,yahitaji nguvu ya ziada sana kutambua..Haya mambo huwa yapo kweli au ni uzushi tu.
Maana naambiwa na jini eti mahaba.Kweli kabsa ulimwengu usionekana una mambo,yahitaji nguvu ya ziada sana kutambua..
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Kubali tu halafu Nenda beach ukapate upepo wa bahari2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Nenda kamalize story ya bint wa karikoo ambe muhindi amewaoa wote na bint ake kisja kila mmoja kumpangiaHana cha kujiuwa wala nini, mpaka binti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe.
si kweliKuna Watu wanasema una MKATABA wa mwaka mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia mpaka June then ingia chimbo tafuta mwingine bila stress 🐒2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Nenda beach ukapunge upepo wa bahari.2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Tunaishi juu ya vipato vyetu.Hilo nalo akalitizame huenda anaomba mno mtu anaamua kukimbia, anapeleka mtoto shule ya gharama halafu pesa ya kuomba lazima ukimbiwe