Nimeachwa nifanye nini

2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali

Kuna Watu wanasema una MKATABA wa mwaka mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Kubali tu halafu Nenda beach ukapate upepo wa bahari
 
Hana cha kujiuwa wala nini, mpaka binti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe.
Nenda kamalize story ya bint wa karikoo ambe muhindi amewaoa wote na bint ake kisja kila mmoja kumpangia
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Tulia mpaka June then ingia chimbo tafuta mwingine bila stress 🐒
 
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Nenda beach ukapunge upepo wa bahari.
 
Hilo nalo akalitizame huenda anaomba mno mtu anaamua kukimbia, anapeleka mtoto shule ya gharama halafu pesa ya kuomba lazima ukimbiwe
Tunaishi juu ya vipato vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…