Nimeachwa wadau baada kufulia … Sina hamu

Nimeachwa wadau baada kufulia … Sina hamu

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
593
Reaction score
2,219
Jamani ashampoo nilikuwa mshua fulani nilianza kuingiza hela toka nikiwa chuo huko sasa hela zilikuwa zinaingia sana kwa siku milioni kwanza kawaida .hapo nikiwa chuo mwaka wa pili tayari bank nina 50 millions kiukweli maisha yalikuwa mazuri sana

Biashara niilikuwa nafanya gadgets nilikuwa naenda china nabeba nauza tz hapo naongelea mwaka 2015 huko stanbic bank kuna siku waliwahi niuliza kwa umri wako hizi hela unatoa wapi kila siku unaleta milion mbili tatu kila siku nikawajibu business hapo 22 age

Maisha yalikuwa mazuri nikajisahau kabisa starehe sana japo wanangu nao niliwakumbuka ...ila sikutaka kabisa kuwa na mpenzi wa kudumu

Basi miaka ikapita nikawa napiga madem naacha staki mahusiano nilijua wanafuata hela....baadae nikaja pata mtoto mrembo sana wa mitaa ya ukonga huko tulikaa miaka 6 tulipendana mno nilimpangia kabisa

Sasa biashara ilikuwa kuyumbaa wachina walivyozuia kwenda china sababu ya corona ....balaa nilianza kwanza kufukuza wafanya kazi mara sijakaa sawa ofisi ikafungwa no profit no mzigo sipati kwa wakati

Yule bint anaitwa letina nae akavumilia miezi sita tu baada hapo letina alianza kwa kucheat sina hamu sasa nikawa najua ashampoo sasa hela sina letina kila siku kesi za kunicheat navumilia

Juzi kati letina bwana akaleta dharau zaidi nimekuta simu inatumika anasema anaongea na mzazi basi nikaamua kummwaga

Nikafanya uchunguzi kimya kimya nikagandua alikuwa amepata lijamaa la ukonga huko linaitwa li Jonathan .... siku na jinsi kufuatulia nikaona kama limenizidi hela ..

Ashampoo nimebaki na stress tu hapa ila nikajua jambo moja ..... ukiona unaachwa na madem jua huna ..HELA ,MUONEKANA , VIBE HUNA ...... jaribu sana kuweka hivyo sawa utaniambia

Mie zAmani nilikuwa na hela muonekano nililipa hela za gym ...vibe ndo usisema nitakupeleka utakapo sasa nimefulia nimemua kuwa mpole

CHINA WAMEFUNGUA NIMEAGIZA MZIGO WANGU WA KWANZA UKO NJIANI

ASHAMPOO ANARUDI MJINI MDA SI MREFU YULE
 
Jamani ashampoo nilikuwa mshua fulani nilianza kuingiza hela toka nikiwa chuo huko sasa hela zilikuwa zinaingia sana kwa siku milioni kwanza kawaida .hapo nikiwa chuo mwaka wa pili tayari bank nina 50 millions kiukweli maisha yalikuwa mazuri sana



ASHAMPOO ANARUDI MJINI MDA SI MREFU YULE
Hongera mkuuu jifunze kwa domo aka simba jinsi anavyoishi na wanawake haitokupa tabu kabisa

Huoni jamaa ana paa kila siku 😬😬😬
 
Hao uliokuwa unawapiga na kuwaacha na wenyewe walijisikia kama unavyojisikia leo, karma imekurudia mapema sana budda jikaze.

Letina amefanya kama wewe ulivyowafanyia wengine, kama vipi karibu kwenye chama cha wakataa………

Ila natania rafiki, you know what i mean nikisema natania right! 😜
 
Back
Top Bottom