Nimeachwa wadau baada kufulia … Sina hamu

Nimeachwa wadau baada kufulia … Sina hamu

POLE ILA INABIDI TUJIFUNZE MWANAMKE INABIDI AKUPENDE WEWE KAMA WEWE ANGALIA MARK ZUCKERBERG ANA MKE SIMPLE FROM CHINA BE UNAFIKIRI ZUCKERBERG AKUONANA NA Slay kwin havard?!!!aliwaona akawa ignore na hiyo ndio powerful mindset ndio maana young d be aliwaimba mademu wa ivyo makurumbembe hope umejifunza na pole
 
Mimi saivi natembea na SLOGAN YA GWIJI MWANAFA UNAOA LINI ?BADO NIPONIPO KWANZA ,UNASEMA,?BADO NIPO NIPO SANAA KATAA NDOA NI SLOGAN NZURI
 
Mwanaume linda uchumi wako kwa gharama yyt ile, wanawake Ni selfish sn[emoji4]
 
Nishajifunza vingi khs wanawake,

Ni hatar sn mwanamke akiuacha umefulia

Unaweza jitundika kitanzi Maana hata Ela ya kuopoa mrembo mwngn wa kupozea machungu ya kuachwa utakua huna.

Binafs najua IPO Siku ntafirisika,
Ila Sio nifilisike kisa kuendekeza wanawake

Naamini Mahusiano is something temporary, Sio yavuruge uchumi wangu afu yaniache solemba,

Nishaapa sifanyi investment na kidampa yyt wa mjini, ntainvest kwa mwanamke alonizaa TU (mama) na mwanamke nilozaa nae TU (wife) kwa ajili ya famu yangu.

Wengine waliobaki acha nilipie huduma TU kama mpita Njia, tutumiane kwa MDA, tukichokana tutemane njiani Kama BIGY G Kisha nipite hivi.
 
Jamani ashampoo nilikuwa mshua fulani nilianza kuingiza hela toka nikiwa chuo huko sasa hela zilikuwa zinaingia sana kwa siku milioni kwanza kawaida .hapo nikiwa chuo mwaka wa pili tayari bank nina 50 millions kiukweli maisha yalikuwa mazuri sana

Biashara niilikuwa nafanya gadgets nilikuwa naenda china nabeba nauza tz hapo naongelea mwaka 2015 huko stanbic bank kuna siku waliwahi niuliza kwa umri wako hizi hela unatoa wapi kila siku unaleta milion mbili tatu kila siku nikawajibu business hapo 22 age

Maisha yalikuwa mazuri nikajisahau kabisa starehe sana japo wanangu nao niliwakumbuka ...ila sikutaka kabisa kuwa na mpenzi wa kudumu

Basi miaka ikapita nikawa napiga madem naacha staki mahusiano nilijua wanafuata hela....baadae nikaja pata mtoto mrembo sana wa mitaa ya ukonga huko tulikaa miaka 6 tulipendana mno nilimpangia kabisa

Sasa biashara ilikuwa kuyumbaa wachina walivyozuia kwenda china sababu ya corona ....balaa nilianza kwanza kufukuza wafanya kazi mara sijakaa sawa ofisi ikafungwa no profit no mzigo sipati kwa wakati

Yule bint anaitwa letina nae akavumilia miezi sita tu baada hapo letina alianza kwa kucheat sina hamu sasa nikawa najua ashampoo sasa hela sina letina kila siku kesi za kunicheat navumilia

Juzi kati letina bwana akaleta dharau zaidi nimekuta simu inatumika anasema anaongea na mzazi basi nikaamua kummwaga

Nikafanya uchunguzi kimya kimya nikagandua alikuwa amepata lijamaa la ukonga huko linaitwa li Jonathan .... siku na jinsi kufuatulia nikaona kama limenizidi hela ..

Ashampoo nimebaki na stress tu hapa ila nikajua jambo moja ..... ukiona unaachwa na madem jua huna ..HELA ,MUONEKANA , VIBE HUNA ...... jaribu sana kuweka hivyo sawa utaniambia

Mie zAmani nilikuwa na hela muonekano nililipa hela za gym ...vibe ndo usisema nitakupeleka utakapo sasa nimefulia nimemua kuwa mpole

CHINA WAMEFUNGUA NIMEAGIZA MZIGO WANGU WA KWANZA UKO NJIANI

ASHAMPOO ANARUDI MJINI MDA SI MREFU YULE
Part two
 
Back
Top Bottom