Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
kisa mi ni MKATOLIKI yeye ni mpendekoste(Mlokole) naomba ushauri kwani psychologically nipo abnormal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo si mpentekoste, bali ni mpendakote!
pole sana mpendwa!

Kwanini uwe abmormal kwa sababu ya mwanamke?

Wapo wengi sana..

Huyo kapata mtu mwingine, anasingizia dini. Alikuwa wapi siku zote asijue kama wewe ni RC? Pole, mwombe mungu atakupa wa kufanana nae!
Huyo kapata mtu mwingine, anasingizia dini. Alikuwa wapi siku zote asijue kama wewe ni RC? Pole, mwombe mungu atakupa wa kufanana nae!
Mliwahi kufunga ndoa kaka? au ni uchumba stage?kisa mi ni MKATOLIKI yeye ni mpendekoste(Mlokole) naomba ushauri kwani psychologically nipo abnormal
mpenzi wangu katika BWANA WA MAJESHI ulipotelea wapi tumekukosa sana humu jamvini..................hivi kwa nini wasema ni mpenda kote na huku kamtupia mkatoliki mwenzangu virago vyake.................
nionavyo kwani hakujua awali ya kuwa anaswagana na mkatoliki?

Mliwahi kufunga ndoa kaka? au ni uchumba stage?

kisa mi ni MKATOLIKI yeye ni mpendekoste(Mlokole) naomba ushauri kwani psychologically nipo abnormal
Nafanana nae... Hebu kloro niunganishie basi...nshaanza kung'ata vidole ujue...wewe haufanani nae?
ni uchumba stage,yeye anataka niende kwenye imani yake!