klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
<br />
<br />
ni uchumba stage,yeye anataka niende kwenye imani yake!
Mr Creative akoding to you wewe ni muumini strong ambae haukukubali kuyumbishwa kwenye imani yako,sasa kwanini uyumbishwe kwenye hisia zako?
move on jibaba!
Nafanana nae... Hebu kloro niunganishie basi...nshaanza kung'ata vidole ujue...
wewe si ulitolewa mahari na Uporoto?