klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145

ni uchumba stage,yeye anataka niende kwenye imani yake!
Nafanana nae... Hebu kloro niunganishie basi...nshaanza kung'ata vidole ujue...
Nimeoteshwa uck wa leo kuwa Uporoto sifanani nae!. Anafanana na husninyo.wewe si ulitolewa mahari na Uporoto?
Kumbe yeye ni mpentekoste toka mfahamiane! na umesema mlishalizungumzia hilo, mbona hiyo ni kawaida tu kaka? muda wenyewe ni miezi 2 halafu unachanganyikiwa nini hapo? ebu muombe Mungu akupe mwenzi wako wa maisha na yeye Mungu atampa wake. Usihame dhehebu kisa mke, baadae yatakuja kukushinda halafu sijui utamlaumu nani. Ila kama unasikia kutoka moyoni mwako kufuata imani yake wewe ifuate lakini usiwe na lengo la kwenda huko ili muoane, kumbuka tu kwamba mke mwema mtu hupewa na Bwanani muda kama wa miezi miwili,suala la imani alilingumzia yeye alitaka niende kwenye imani yake ambacho ni ki2 kisichowezekana au wewe unaonaje?

huyo si mpentekoste, bali ni mpendakote!

pole sana mpendwa!
ni muda kama wa miezi miwili,suala la imani alilingumzia yeye alitaka niende kwenye imani yake ambacho ni ki2 kisichowezekana au wewe unaonaje?

okoka na wewe muende sambamba
kisa mi ni MKATOLIKI yeye ni mpendekoste(Mlokole) naomba ushauri kwani psychologically nipo abnormal

Nimeoteshwa uck wa leo kuwa Uporoto sifanani nae!. Anafanana na husninyo.

ni uchumba stage,yeye anataka niende kwenye imani yake!

ni uchumba stage,yeye anataka niende kwenye imani yake!