Napenda kuwashauri wote mnaotafuta wachumba jf ni ngumu sana kumpata m2 unae weza kwendana nae akili.
Wengi wao tayari wameshaumizwa hivyo kila mtu wanamchukulia na kumuhisi kama anaweza tenda kama alio wahi kutendewa huko nyuma
Usemi usemao 'actions speak louder than words' nimegundua una ukweli kwa maana mambo unayo fanyiwa tu we mwenyewe unaona kabisa kwamba hapa ni meingia choo cha JWTZ
Sio kuwakatisha tamaa mkuu. Kwa sababu kuna walio nitia moyo nitajiachia by the next time.
Pengine niliangukia pua.
Nitajiachia kwa mara nyingine nione bahati yangu wakubwa.
Nashukuru sana kwa kunitia moyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.