Nimeaibika sana leo, nimejamba kikaoni mbele ya Binti nayempenda

Na Hilo ni jambo lq kusikitika? Wewe upo chuoni, au boarding shule ya secondary!?
 
Nahisi exhaust pipe yako kuna mtu aliikorofisha ndio maana imelegea
 
No wonder waajiri wanalalamika kwamba graduates wengi siku hizi hawana maarifa na ujuzi wa kazi walizosomea! Kwa akili hizi safari bado ndefu sana!
 
Duce naomba mkatae huyu mkaka ikiwa mk wake hauwezi si itakuwa wakati wa shughuli anajamba ovyo ,aibu kaka mwanamme hajambi ovyo inaonyeshea ww ni bonge na unapenda kula ovyo muscle zako haziko strong.
 
Punguza ulafi Boy
 
Serikali iliangalie kwa umakini tatizo la afya ya akili lasivyo tutapoteza vijana wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…