Nimeambiwa kwa 8m sipati ist used. Plate "D"

Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au?

USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
Usinunue gari kwa kuangalia sijui namba D ya zaman au D mpya, cha muhimu angalia gari kama imetunzwa maana namba D zipo kibao zimechoka balaa bora hata namba B kwahiyo usiangalie namba ya gari
unaweza kupata kwa budget yako lkn usiwe na haraka kupapalikia mradi tu umeletewa gari na mtu unaingia kingi tafuta taratibu jiridhishe fanya road test.

Pia kununua gari kwa mtu ni risk so unaweza bahatisha nzuri au ukapigwa ilo weka akilini japo navyofahamu mimi mtu akiwa ana ist yake nzuri haijachoka bado mbichi madalali wanasema haimjui fundi itakulazimu uongeze dau kidogo.
 
Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au?

USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
Sentensi yako ya mwisho😆😆😆
 
Wasikuvunje moyo, unapata ist nzuri tu, sema kagua vizuri utakapokuwa unanunua, zipo hata chini ya hapo, ila point gari ya m9 alafu uwashushe mpaka 8.
 
Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au?

USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
Kwa bei hiyo utapata, ila mwambie akuuzie na turubai la kuifunikia maana lazima uipaki mwezi mzima matengenezo
 
Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au?

USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
Waalimu mnakwama wapi? Mbona mnafanya mambo ya kuchekesha sana. Wewe unataka IST yenye namba D au IST iliyo kwenye condition nzuri? Hujui namba D inaweza kuwa mbovu kabisa kuliko namba C hata B?
 
Waalim mnakwama wapi? Mbona mnafanya mambo ya kuchekesha sana. Wewe unataka IST yenye namba D au IST iliyo kwenye condition nzuri? Hujui namba D inaweza kuwa mbovu kabisa kuliko namba C hata B?
Nimepata ist safi namba DR, kwa 10m.. iko vzuri kabisa imetembea km chache, na well maintained.. naweza kusema am enjoying
 
Kwa 8m unaweza bahatisha labda mtu ana matatizo ambayo yamemkaba lkn sio rahisi kupata iliyosimama
 
Back
Top Bottom