Nimeambiwa kwa 8m sipati ist used. Plate "D"

Nimeambiwa kwa 8m sipati ist used. Plate "D"

Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au?

USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
Unanunua plate number?
 
Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafuta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. Labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au?

USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
NIMEPATA CHUMA IMENYOOKA KWA M10 TU, SIJUTII KITU IMESIMAMAM VZURI SAMA YANI
 
UNAPATA AISEE, mimi nilinunua yangu million 7 na laki 9 mwaka jana.

chamsingi tuliza akila utapata.

ila jf kuna mijitu inajikuta inajua kila kitu yani mtu anacomment kujifanya anajua magari afu unakuta hana hata toroli
 
Mzigo huo apo mkuu. Mcheki huyo jamaa


aliyepiga hii rangi mchovu sana,kuna muhuni mwenge pale anajiita mugoo mapolish jamaa anakupigia rang had unaogopa kitu inawakaaa km mjapani,Moshi pia kuna Dulla Auto garage fundi saana huyu muhuni kwenye rangi.
 
Back
Top Bottom