GoLC
JF-Expert Member
- Jul 10, 2025
- 268
- 466
Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo.
Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli, Mkapa, Kijazi, Mfugale, Lowasa, Sitta, Mandela, et al. List ni ndefu sana. Ajabu wote hao bado wake zao wapo.
Ndipo katika kujadili hilo na wife akaniambia nikitaka kuishi muda mrefu nisikilize ushauri wa mke 🤔. Ushauri wa mke ni upi wandugu? Nimelileta hili kwenu