Uwe bwege yy ndo awe faza hausi .... Sasa ww jichanganye utakua unawekewa cement kidogo kidogo kwenye msosi mpaka uje unye tofali2😄😄😄😄Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo.
Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli, Mkapa, Kijazi, Mfugale, Lowasa, Sitta, Mandela, et al. List ni ndefu sana. Ajabu wote hao bado wake zao wapo.
Ndipo katika kujadili hilo na wife akaniambia nikitaka kuishi muda mrefu nisikilize ushauri wa mke 🤔. Ushauri wa mke ni upi wandugu? Nimelileta hili kwenu
Oa wake wanne🤔. Ushauri wa mke ni upi wandugu? Nimelileta hili kwenu
Kwani, mkeo ni Mungu au ushirikina na uzwazwa mbali na imani za kijinga? Ukitaka kuishi maisha marefu, kula na kulala vizuri, tenda haki, na heshimu kila mtu.Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo.
Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli, Mkapa, Kijazi, Mfugale, Lowasa, Sitta, Mandela, et al. List ni ndefu sana. Ajabu wote hao bado wake zao wapo.
Ndipo katika kujadili hilo na wife akaniambia nikitaka kuishi muda mrefu nisikilize ushauri wa mke 🤔. Ushauri wa mke ni upi wandugu? Nimelileta hili kwenu
Je katika maongezi hakukunong'oneza ushauri huo,ili uwqsaidie wengine kuongeza siku za maisha ya duniani?Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo.
Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli, Mkapa, Kijazi, Mfugale, Lowasa, Sitta, Mandela, et al. List ni ndefu sana. Ajabu wote hao bado wake zao wapo.
Ndipo katika kujadili hilo na wife akaniambia nikitaka kuishi muda mrefu nisikilize ushauri wa mke 🤔. Ushauri wa mke ni upi wandugu? Nimelileta hili kwenu
Umeoa? Kati ya list niliyotaja hapo juu, hao watu hawakuwa na sifa ulizoainisha?Kwani, mkeo ni Mungu au ushirikina na uzwazwa mbali na imani za kijinga? Ukitaka kuishi maisha marefu, kula na kulala vizuri, tenda haki, na heshimu kila mtu.
Huyu atakufa haraka sanaUmekaa na mkeo hapo ndani muda wote.
Amekuambia ufuate ushauri wake, na bado hapo upo nae.
Unakuja JF kutuuliza ni ushauri gani mkeo alimaanisha!
WTF
Yeah, tunzipuuzia wakati mwingineHii ni mojawapo ya sababu ambazo huwa hatuzitizami?
Umekaa na mkeo hapo ndani muda wote.
Amekuambia ufuate ushauri wake, na bado hapo upo nae.
Unakuja JF kutuuliza ni ushauri gani mkeo alimaanisha!
Mbona unaonekana una stress, chief. Hata majawabu hutafutwa kwa unyenyekevuUmekaa na mkeo hapo ndani muda wote.
Amekuambia ufuate ushauri wake, na bado hapo upo nae.
Unakuja JF kutuuliza ni ushauri gani mkeo alimaanisha!
WTF
Kwahy hayo majawabu unayatafuta kwetu ambao hatumjui mkeo au kwa mkeo aliyekuambia?Mbona unaonekana una stress, chief. Hata majawabu hutafutwa kwa unyenyekevu
To balance the equation - wanawake wanawahi kuzeeka kuliko mwanaumeWanaume huwahi kufa sababu wanafanya kazi za risk kuliko wanawake na bado wanaoa wanawake wenye umri mdogo zaidi yao-kwa hali hiyo kwa nini usife mapema.