Nimeambiwa nina Glaucoma (Pressure ya macho)

Nimeambiwa nina Glaucoma (Pressure ya macho)

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Dk, naombeni msaada nimeambiwa nina pressure ya macho maswali yangu ni kuwa:-
  1. Je, inasababishwa na nini
  2. inaweza kupona
  3. Nini dawa yake
  4. kuna tiba mbadala.
Nawasilisha
 
Glaucoma inasababibishwa na mishipa ya macho inayoungana na ubongo kuharibika. Dalili zake ni kutoona kwa ufasaha au kuona rangi za upinde wa mvua.

Matibabu yanayegemea na uharibifu uliotokea. Unaweza kupata matone ya dawa au leser surgery.
 
Back
Top Bottom