EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Oct 22, 2020 #1 Dk, naombeni msaada nimeambiwa nina pressure ya macho maswali yangu ni kuwa:- Je, inasababishwa na nini inaweza kupona Nini dawa yake kuna tiba mbadala. Nawasilisha
Dk, naombeni msaada nimeambiwa nina pressure ya macho maswali yangu ni kuwa:- Je, inasababishwa na nini inaweza kupona Nini dawa yake kuna tiba mbadala. Nawasilisha
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Oct 22, 2020 #2 Glaucoma inasababibishwa na mishipa ya macho inayoungana na ubongo kuharibika. Dalili zake ni kutoona kwa ufasaha au kuona rangi za upinde wa mvua. Matibabu yanayegemea na uharibifu uliotokea. Unaweza kupata matone ya dawa au leser surgery.
Glaucoma inasababibishwa na mishipa ya macho inayoungana na ubongo kuharibika. Dalili zake ni kutoona kwa ufasaha au kuona rangi za upinde wa mvua. Matibabu yanayegemea na uharibifu uliotokea. Unaweza kupata matone ya dawa au leser surgery.