Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Eagle wing wanataka watu kama wewe
 
Mwanangu kama hizo sifa ulizozitaja unazo kweli basi wewe ni mgodi unaotembea, yani kichwani hapo unayohela umeshindwa tu kuiconvert, nakushauri jaribu kuzungukia sehem yeyote unayohisi utakutana na wadau, mimi nilipomaliza chuo nilituma sana maombi ya kazi nikawa siitwi hata kwenye interview, nikaamua kuwa natembelea sana brela kuanzia online na ofisi zao pale lumumba, walipointroduce online registation system ilisumbua watu wengi sana, mimi niliijua mapema sasa nikawa nakutana na mabosi wanataka kufungua makampuni wameshasumbuka na usajiri nikiwakuta nawasaidia naachana nao kesho yake wenyewe wananiomba namba ya simu kwa msaada zaidi, sasa hivi phone book yangu imejaa majina ya wachina na wazungu nawapiga kinoma, USHAURI: toka mtaani jichanganye town hata kama huna hela ya kula na usizunguke kiboya pita sehem strategic nakuahidi ipo siku utakutana na watu wa maana show your skills, achana na ishu za kutuma applications

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani ndugu yangu unaendeleaje sasa ?
 
Pole mkuu kwa kuugua!pole kwa majibu ya kubahatisha ya docter,yalikufanya uwandike Uzi huu.amini akuna ajue siku ya mwisho ya mwingine,na wala kuugua sio kufa.nikukumbushe kitu,m/mng amesema nimeficha umauti,kwenu ile mpate kuamini kua mungu yupo.na Siku ya mwishi IPO mikononi mwangu.ishi ukijua mwaka,mwezi,wiki,Sikh,SAA,sekunde utakufa.
Huo ni utabiri tu docter.kubwa Fanya ibada,toa sadaka na fanya mambo mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu alishakufa mbona na watu walishiriki mazishi.
folk MUNGU akulaze mahali pema peponi 😭😭
 
Yaani umeshindwa kufungua uzi wako mwenyewe mpaka unaleta hapa kwenye uzi wa mwenzako.
Nijifunze kuwa wastaarabu.
Hata Kama ww ni mstaarabu hapa umeonekana kituko
 
Nadhani jf app last seen inatokana na coment za post ya folk,
kwa wenye operamin last seen may mwaka jana,
SO official folk alishakufa zamani sana,mods waandike r.i.p kwenye akaunti yake kwa kumuenzi member mwenzetu
 
Hivi mkuu ulishakufa au bado upo hai nikupe mchongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwite akubebee begi mwezi mmoja atajifunza mengi toka kwako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…