Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Mwite akubebee begi mwezi mmoja atajifunza mengi toka kwako
Mkuu nimempa ramani endapo ataizingatia naamini itamsaidia, kuhusu kunibebea begi sidhani kama itakua sahihi sana kwa sasa anapaswa kuanza kwa kutafuta taarifa sahihi, kwenye kazi zangu nakimbizana na polisi, tra, uhamiaji na takukuru hii inatokana na mifumo mibovu ya utendaji nchini hivyo kuna baadhi ya mambo inabidi kupita njia ya uwani ambayo kikinuka kinanuka kweli, but high risk high return, hofu yangu akienda kichwa kichwa siku hizi kuna kesi za money loundering hazina dhamana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutakufa na huwezi kufa,kifo anaejua ni Mungu tu . Narudia hutakufaaa
 
Mkuu kumbe ww mkongwe humu binafsi sikuwepo alipo kuwa hai katika mada hii.
Umeona eeh, mimi ni kaka yako humu, nimekuzidi mwaka mzima ujue.

Yeah, niliuona alipoupost huu uzi.Ndio maisha aisee, ni kuombeana uzima tuu.
 
Umeona eeh, mimi ni kaka yako humu, nimekuzidi mwaka mzima ujue.

Yeah, niliuona alipoupost huu uzi.Ndio maisha aisee, ni kuombeana uzima tuu.
Huu uzi ni wa mwaka jana April tumepishana miezi tu hata mimi mkongwe kwa kweli
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…